9,90 

Mashujaa wa msitu wa chini ya maji

, 978-3-7308-2023-0 , , , Auflage: 1. Auflage 2023Ausführung: broschiert, 36 Seiten, durchgehend farbig illustriert
Share

Chloe atahamia Zanzibar kwasababu mama yake ataanza kufanya kazi kisiwani hapo kama mwanabiolijia wa sayansi za bahari. Mara tu atakapowasili, Chloe ataanza kutembelea ulimwengu wa chini ya maji pamoja na mwanafunzi mwenzake mpya Amo. Walipokua wanaogelea baharini walikutana na nguva aliyeitwa Nya. Akawaonyesha nyumbani kwake – uwanda wa majani bahari unaoundwa na majani mabichi, manene hadi macho yanapoweza kuona. Katikati ya maji wanaona Wanyama wa kila aina ya rangi. Chloe na Amo wanavutiwa mara moja na maajabu haya ya chini ya maji. Hata hivyo, wanaporudi wiki chache baadaye kwenye ufuo huo baada ya majira ya joto kali, nyasi za baharini zimetoweka pamoja na rafiki yao Nya. Lilibakia jangwa la mchanga tu. Ni nini kilitokea na wanaweza kufanya nini? Chloe na Amo wakajipanga kurudisha msitu wao wa chini ya maji.

 

Das Buch ist bei uns außerdem auf Deutsch, Englisch und Französisch erschienen!

Bewertungen

Es gibt noch keine Bewertungen.

Schreibe die erste Bewertung für „Mashujaa wa msitu wa chini ya maji“

Deine E-Mail-Adresse wird nicht veröffentlicht. Erforderliche Felder sind mit * markiert